Jinsi Ya Kujitibu Maumivu Popote Mwilini: Kwa nguvu Ya Fikra... Ikiwa Ni Maumivu Kawaida Au Ya Kichawi.. Jambo! Ni Rakims Tena Na Power Of Subconscious Mind.. Nguvu Ya Ubongo Wako Sehemu Ya Siri Ya Ubongo Wako Inayoleta Effects Katika Spirit & Physical World Kwa Kukumbuka Nyuma Ukweli Mdogo...
Baada ya kumaliza chuo na nikiwa chuo nilikua napenda kusoma vitabu mbalimbali hasa inspirational books kwasababu niliamini kuna vitu Vingi vimefichwa kwenye maandishi katika pita pita nilikutana na kitabu cha power of subconscious mind cha Joseph Murphy baada ya kukimaliza nikajikuta nimekua...
Yes ni hayo hayo , kwa namna nyingine weka hivi "THE POWER OF SUBCONSCIOUS MIND " Prishaz, Sieger, Ms eyes and 4 others
Manifestation ni kutumia the power of mind, through positive thinking to open the energy stored in your subconscious mind, ikupe chochote unachokitaka. Watu wote wenye mafanikio wanatumia manifestation kwa kujua au kutokujua, ila siri kuu ya kwanza ya mafanikio, ni kuwa na ndoto, wazo, nia, kisha kuifanyia kazi hiyo ndoto.
The Tribune: The Power of the Subconscious Mind for Healing with Oren Zarif
The subconscious mind is a powerful force that influences our thoughts, behaviors and actions. It stores our beliefs, memories, and experiences, shaping our perceptions and decision-making processes.
Indiatimes: 8 powerful life lessons from Joseph Murphy’s “The Power of Your Subconscious Mind”
8 powerful life lessons from Joseph Murphy’s “The Power of Your Subconscious Mind”
Tafadhali nisaidieni naandika andiko la kiswahili lenye maneno ya kisaikolojia natafuta maneno ya kiswahili yanayoweza kuwasilisha maneno haya "Conscious mind" na "Subconscious mind" tafadhali wataalamu wa saikolojia Tanzania na popote nisaidieni!
Kinachofanyika ni kuiaminisha SUBCONSCIOUS MIND yako kwamba hali halisi ni hiyo (unayoitamka), maana SUBCONSCIOUS MIND haijui hii ni kweli au sio kweli.. so, ni jukumu lako kuiaminisha vile unavyotaka iwe.