Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania Post kuanzia miji, vijiji hadi...
Picha zinazomuonesha akishirikiana kwa urahisi na wananchi, kama vile kupiga picha za kawaida, zimekuwa ni jambo la kawaida. Hata hivyo, picha hii imesababisha baadhi ya wananchi kuhoji mwelekeo wa uongozi, wakiamini kuwa heshima ya Urais inahusiana moja kwa moja na maadili ya mtu binafsi na familia.
Watu wengi hutamani kumuona Yesu. Wanajiuliza, “Alikuwa na sura gani? Alionekana vipi? Alikuwa mtu wa namna gani?” Wengine hujaribu kutengeneza picha kwa mawazo, ndoto au sanaa. Lakini kuna njia moja ya uhakika ya kumuona Yesu kwa macho ya kweli ya rohoni kupitia Neno lake. Ni kama vile...
Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images Kampuni kubwa inayojulikana kimataifa kwa upigaji picha za wasanii wakubwa na matukio makubwa, Getty Images, imetangaza rasmi kuuza picha moja ya Diamond Platnumz kwa $499 (Tsh Milioni 1.3/=)...
Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha ...
PreGE2025 - Picha: Hii ndiyo miradi inayotarajiwa kupitiwa na mwenge wa ...
Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon...